Uplands Radio Inatangaza Nafasi za kazi..Mbili za watangazaji kwa jinsia zote,Sifa za Muombaji awe na umri wa miaka 20 na kuendelea awe na elimu ya utangazaji ya cheti,Deploma,degree,Master N.K na nafasi moja ya Utawala..
Sifa za Muombaji awe na miaka 25 nakuendelea,awe na elimu ya utawala ya cheti,Deploma,degree,Master N.K Awe na Uzoefu usiopungua Mwaka mmoja.
Maombi Yatumwe Uplands radio S.L.P 610 Njombe au kupitia tovuti:
0 comments:
Post a Comment