Ads 468x60px

Featured Posts

Tuesday, September 11, 2012

ATIMAE MKOA MPYA WA NJOMBE WAUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA NA KUUNDA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KINACHOITWA NJOMBE MEDIA CLUB(NMC) NA KUTOA TAMKO LA KUTOSHIRIKIANA NA POLISI KTK UTENDAJI WA KAZI KUTOKANA NA KIFO CHA MWANGOSI.

       MKURUGENZI DARAJA YENYE MRADI WA GAZETI LA KWANZA JAMII               BRANA Simon Mkina  
      Akielezea faida za kuwepo kwa chama cha waandishi wa habari ambacho kwa njombe kinaitwa NJOMBE MEDIA CLUB(NMC)
 


wanahabari wakiwa kwenye kikao kujadili juu ya uanzishwaji wa NJOMBE MEDIA CLUB [NMC] LEO.

Monday, September 10, 2012

HUU NDO USHAHIDI WA VIDEO UNAOONESHA JINSI DAUD MWANGOSI ALIVYOUAWA

 

Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga, Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012.

Vurugu hizi baina ya Polisi na Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi aliyelipuliwa na bomu na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita.

Monday, September 3, 2012

HIVI NDIVYO MWANAHABARI DAUD MWANGOSI ALIVYOPOTEZA MAISHA LEO KATIKA VURUGU ZA CHADEMA NA POLISI

                     Mwili wa mwanahabari Daud Mwangosi ukiwa chini
  Hapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za   Chadema Nyololo Mufindi


Thursday, August 23, 2012

MTOTO MWENYE UMRI WA MIEZI 4 ATUPWA KANDOKANDO YA DIMBWI LA MAJI MACHAFU

NJOMBE

Mtoto Mmoja Anayekadiriwa Kuwa na Umri wa Miezi Minne wa Jinsia ya Kike Ameokotwa Jana Akiwa Ametupwa na Mtu Asiyejulikana Kandokando ya Dimbwi la Maji Machafu Kwenye Mstu Uliopo Karibu na Shule ya Sekonadari ya Njombe .

Akizungumza na kituo hiki mara baada ya kuokotwa kwa mtoto huyo na wasamalia wema Afisa mtendaji wa kata ya Njombe Mjini Dornad Mng'ong'o amesema kuwa mtoto huyo ameokotwa katika msitu uliopo jirani na shule ya sekondari Njombe akiwa na hali mbaya kandokando ya dimbwi la maji machafu.

Aidha ameeleza kuwa mpaka sasa mtoto huyo yupo chini ya uongozi wa serikali ya mtaa wa Kihesa sehemu ambayo alitupwa.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Mjini Njombe Marry Mng'ong'o Ambaye Amemchukua Mtoto Huyo Ameeleza kuwa mtoto huyo amemchukua Jana  asubuhi wakati akielekea kwenye ofisi za kata hiyo kwa ajili ya kikao cha sensa kwa viongozi ngazi ya kata na mitaa.


Thursday, July 5, 2012

NJOMBE,
 Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Limewataka Wamiliki Wote wa Silaha za Moto Kujitokeza Kwa Ajili ya Kusajili Silaha Zao Ikiwa ni Zoezi la Nchi Nzima Lililoanza Leo Wilayani Njombe. Kamanda wa Polisi Mkoani Njombe ASP Fulgency Ngonyani Amesema Zoezi Hilo Katika Wilaya ya Njombe Litadumu Kwa Siku Mbili Hadi Kesho July Tano Kabla ya Kuhamia Katika Wilaya za Ludewa na Makete Wakati Wilaya ya Wanging'ombe Wakitakiwa Kusajili Wilayani Njombe. Pia Ametoa Wito Kwa Wamiliki wa Silaha Kuzingatia Matumizi Sahihi ya Silaha Hizo Kulingana na Maelekezo Waliyopewa na Hivyo Kusaidia Kupunguza Matukio ya Uhalifu .

NJOMBE

, Jeshi la Polisi Mkoani Njombe Limewataka Wamiliki Wote wa Silaha za Moto Kujitokeza Kwa Ajili ya Kusajili Silaha Zao Ikiwa ni Zoezi la Nchi Nzima Lililoanza Leo Wilayani Njombe. Kamanda wa Polisi Mkoani Njombe ASP Fulgency Ngonyani Amesema Zoezi Hilo Katika Wilaya ya Njombe Litadumu Kwa Siku Mbili Hadi Kesho July Tano Kabla ya Kuhamia Katika Wilaya za Ludewa na Makete Wakati Wilaya ya Wanging'ombe Wakitakiwa Kusajili Wilayani Njombe. Cue......Ngonyani Silaha. Pia Ametoa Wito Kwa Wamiliki wa Silaha Kuzingatia Matumizi Sahihi ya Silaha Hizo Kulingana na Maelekezo Waliyopewa na Hivyo Kusaidia Kupunguza Matukio ya Uhalifu .

Wednesday, July 4, 2012

NJOMBE,

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe George Mkindo Ametolea Ufafanuzi  Suala la Ubadhirifu wa Fedha za Kijiji cha Idunda Takribani Shilingi Milioni Kumi Unaodaiwa Kufanywa  na Viongozi Waliokuwepo Madarakani , na Kusema Kuwa Suala Hilo Bado Linafanyiwa Uchunguzi na Hivyo Kuwataka Wananchi wa Kijiji Hicho Kuwa na Subira.